• HABARI MPYA

  Saturday, October 15, 2022

  SERENGETI BOYS YAIPIGA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17


  TANZANIA imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda leo Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS YAIPIGA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top