• HABARI MPYA

  Wednesday, October 12, 2022

  SERENGETI GIRLS YABAMIZWA 4-0 NA JAPAN KOMBE LA DUNIA


  TIMU ya taifa ya wasichana U17 imeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Japan katika mchezo wa Kundi D leo Uwanja wa 
  Jawaharlal Nehru (Fatorda Stadium) huko Margao, Goa nchini India.
  Serengeti Girls itateremka tena dimba Jumamosi kumenyana na Ufaransa katika mechi wake wa pili wa Kundi D  – kabla ya kukamilisha mechi zake za Kundi hilo kwa kumenyana na Canada Jumanne ijayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI GIRLS YABAMIZWA 4-0 NA JAPAN KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top