• HABARI MPYA

  Saturday, October 29, 2022

  YANGA SC YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 NA KUWEKA POZI KILELENI


  BAO la penalti la winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Yanga inafikisha pointi 20 katika mchezo wa nane na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya Namungo FC na Mtibwa Sugar ambazo pia zimecheza mechi tisa kila timu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 NA KUWEKA POZI KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top