• HABARI MPYA

  Monday, October 10, 2022

  DODOMA JIJI YAMTUPIA VIRAGO KOCHA MASOUD JUMA


  KLABU ya Dodoma Jiji FC imetangaza kuachana na kocha wake Mrundi, Irambona Masudi Juma pamoja na benchi lake zima la Ufundi, huku kocha wa timu za vijana, Omary Mohamed akipewa jukumu la kuongoza timu kwa muda.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAMTUPIA VIRAGO KOCHA MASOUD JUMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top