• HABARI MPYA

  Sunday, October 16, 2022

  MASON MOUNT APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 2-0


  MABAO ya Mason Mount dakika ya sita na 65 yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Villa Park leo.
  Kwa matokeo hayo, Chelsea inafikisha pointi 19 katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya nne, wakati Aston Villa inabaki na pointi zake tisa za mechi 10 nafasi ya 16.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASON MOUNT APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top