• HABARI MPYA

  Friday, October 21, 2022

  XHAKA AING’ARISHA ARSENAL UEFA EUROPA LEAGUE


  BAO pekee la Granit Xhaka dakika ya 70 jana limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Kundi A Europa League Uwanja wa Emirates Jijini London.
  Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 12 na kumuhakikishia kocha Mikel Arteta kutinga Hatua ya mtoano, huku PSV Eindhoven ya kocha Ruud van Nistelrooy ikibaki na pointi saba nafasi ya pili baada ya wote kucheza mechi nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: XHAKA AING’ARISHA ARSENAL UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top