• HABARI MPYA

  Friday, October 14, 2022

  ARSENAL YANG’ARA ULAYA, YASHINDA 1-0 UGENINI


  TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Bodo/Glimt katika mchezo wa Kundi A UEFA Europa League usiku wa jana Uwa ja wa Aspmyra Jijini Bodø.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, Bukayo Saka dakika ya na kwa matokeo hayo The Gunners wanafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi mbili zaidi ya PSV Eindhoven.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG’ARA ULAYA, YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top