• HABARI MPYA

  Thursday, October 06, 2022

  PHIRI AKABIDHIWA TUZO YAKE YA SEPTEMBA SIMBA SC


  MSHAMBULIAJI Mzambia, amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa klabu ya Simba kwa mwezi Septemba mwaka huu sambamba na kitita cha Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PHIRI AKABIDHIWA TUZO YAKE YA SEPTEMBA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top