• HABARI MPYA

  Wednesday, October 12, 2022

  SERENGETI BOYS YATUPWA NJE CECAFA U17


  SAFARI ya timu ya taifa ya Tanzania katika michuano ya CECAFA U17 imeishia Nusu Fainali baada ya kutolewa na Sudan Kusini leo kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS YATUPWA NJE CECAFA U17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top