• HABARI MPYA

  Monday, October 31, 2022

  MBEYA CITY YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 UHURU


  WENYEJI, Ruvu Shooting wamechapwa 1-0 na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Bao pekee la Mbeya City limefungwa na Hassan Nassor Maulid dakika ya 17 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 12 katika mchezo wa nane na kusogea nafasi ya 10, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 10 za mechi 10 sasa nafasi ya 11.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top