• HABARI MPYA

  Monday, October 17, 2022

  ARSENAL SASA WAANZA KULA RAHA KILELENI ENGLAND


  BAO pekee la Bukayo Saka dakika ya 35 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Leeds United Uwanja wa Elland Road.
  Ilikuwa ni siku mbaya kwa wenyeji baada ya Patrick Bamford kukosa penalti dakika ya 40 na kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 27 na kutanua uongozi wake kwa pointi nne zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City kufuatia wote kucheza mechi 10, wakati Leeds United inabaki na pointi tisa za mechi tisa nafasi ya 15.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL SASA WAANZA KULA RAHA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top