• HABARI MPYA

  Monday, October 17, 2022

  KIPANGA JANA ILICHEZEA 7-0 MBELE YA CLUB AFRICAIN


  TIMU ya Kipanga ya Zanzibar jana imetupwa nje ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 7-0 na wenyeji, Club Africain ya Tunisia.
  Mechi ya kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Amani visiwani Zanzibar, Kipanga ilikomaa na kutoa suluhu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPANGA JANA ILICHEZEA 7-0 MBELE YA CLUB AFRICAIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top