• HABARI MPYA

  Friday, October 21, 2022

  WAZIRI MCHENGERWA MGENI RASMI MECHI YA WATANI

  WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ndiye atakuwa mgeni rasmi katika mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI MCHENGERWA MGENI RASMI MECHI YA WATANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top