• HABARI MPYA

  Sunday, October 30, 2022

  LIVERPOOL YAPIGWA 2-1 NA LEEDS UNITED PALE PALE ANFIELD


  TIMU ya Leeds United jana imewachapa wenyeji Liverpool mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield,
  Mabao ya Leeds jana yalifungwa na Rodrigo dakika ya nne na Crysencio Summerville dakika ya 89, wakati la Liverpool limefungwa na Mohamed Salah dakika ya 14.
  Kwa ushindi huo, Leeds wanafikisha pointi 12 katka mchezo wa 12 na kujivuta nafasi ya 15, wakati Liverpool baada ya kichapo hicho cha kwanza nyumbani tangu mwaka 2017, wanabaki na pointi zao 16 za mechi 12 pia nafasi ya tisa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPIGWA 2-1 NA LEEDS UNITED PALE PALE ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top