• HABARI MPYA

  Saturday, October 22, 2022

  SERENGETI GIRLS YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA


  TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka wa 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia U17 baada ya kuchapwa 3-0 na Colombia katika mchezo wa Robo Fainali leo Uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru huko Goa, India.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI GIRLS YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top