• HABARI MPYA

  Monday, October 31, 2022

  SIMBA QUEENS YACHAPWA 1-0 NA WAARABU MOROCCO


  TIMU ya  Simba Queens imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji FAR Rabat katika mchezo wa Kundi A usiku wa jana Uwanja wa Prince Moulay Hassan Jijini Rabat nchini Morocco.
  Simba Queens watateremka tena dimbani Novemba 2 kumenyana na Determine Girls ya Liberia kabla ya kukamilisha mechi zao za Kundi hilo kwa kumenyana na Green Buffaloes ya Zambia Novemba 5.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS YACHAPWA 1-0 NA WAARABU MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top