WACHEZAJI 18 WATEULIWA SOKA LA UFUKWENI KUSHIRIKI COSAFA
KOCHA Boniface Pawasa ameita wachezaji 18 kutoka timu mbalimbali Bara na Visiwani kuunda kikosi cha timu ya taifa Soka la Ufukweni (Beach Soccer) kitakachoingia kambini kujiandaa na mashindano ya COSAFA.
0 comments:
Post a Comment