• HABARI MPYA

  Tuesday, September 13, 2022

  AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MBEYA CITY 1-0


  BAO pekee la Idris Mbombo dakika ya 60 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya City Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi nane na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake nne baada ya wote kucheza mechi nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MBEYA CITY 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top