• HABARI MPYA

  Saturday, September 17, 2022

  MAN CITY YAENDELEZA UBABE LIGI KUU ENGLAND


  MABAO ya Jack Grealish dakika ya kwanza, Erling Haaland dakika ya 16 na Phil Foden dakika ya 69 leo yameipa Manchester City ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux.
  Man City inafikisha pointi 17 katika mchezo wa saba na kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa wastani tu wa mabao dhidi ya Tottenham Hotspur baada ya wote kucheza mechi saba.
  Tottenham leo imeitandika Leicester City 6-2 Uwanja wa Tottenham Jijini London.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAENDELEZA UBABE LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top