• HABARI MPYA

  Wednesday, September 07, 2022

  CHELSEA YACHAPWA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA


  BAO pekee la Mislav Orsic dakika ya 13 jana liliwapa wenyeji, Dinamo Zagreb ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Maksimir mjini Zagreb.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YACHAPWA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top