• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2022

  LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BARCA YAUA 5-1


  WENYEJI, Barcelona wameanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 5-1 dhidi ya Viktoria Plzen 5-1 kwenye mchezo wa Kundi C jana Uwanja wa Nou Camp.
  Mabao ya Barca jana yamefungwa na Robert Lewandowski matatu dakika za 34, 45 na ushei na 67, mengine Franck Kessie dakika ya 13 na Ferran Torres dakika ya 71, wakati la wageni lilifungwa na Jan Sýkora dakika ya 44.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BARCA YAUA 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top