• HABARI MPYA

  Tuesday, September 13, 2022

  CHIPO NDIYE MRITHI WA JUMA MGUNDA COASTAL UNION


  KATIBU Mkuu wa Coastal Union, Omar Ayoub (kushoto) akimtambulisha kocha mpya, Yusuf Chipo ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa timu hiyo kufuatia kuondoka kwa Juma Mgunda aliyehamia Simba SC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHIPO NDIYE MRITHI WA JUMA MGUNDA COASTAL UNION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top