• HABARI MPYA

  Monday, September 12, 2022

  GSM YAINGIA MKATABA NA YANGA WA SH. BILIONI 10.9  KLABU ya Yanga leo imesaini mikataba mpya wa miaka mitano wa uzalishaji na usambazaji wa jezi na vifaa mbalimbali na kampuni ya GSM wenye thamani ya Shilingi Bilioni 9.1.
  Pamoja na mkataba huo, Yanga pia imesaini mkataba mwingine mpya na GSM wa udhamini, ambao unaipa kampuni hiyo haki za kuweka nembo zake kwenye jezi za klabu hiyo wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.8  kwa muda wa miaka mitano pia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GSM YAINGIA MKATABA NA YANGA WA SH. BILIONI 10.9 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top