• HABARI MPYA

    Friday, September 16, 2022

    CHAMA AKABIDHIWA TUZO NA MILIONI ZAKE 2 SIMBA SC


    KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chota Chama baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Agosti sambamba na mfano wa Hundí ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHAMA AKABIDHIWA TUZO NA MILIONI ZAKE 2 SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top