• HABARI MPYA

  Saturday, September 17, 2022

  KIPANGA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


  TIMU ya Kipanga FC ya Zanzibar imefanikiwa kwenda Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Al Hilal Wau ya Sudan Kusini kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya jumla ya 2-2 nyumbani na ugenini.
  Mechi ya kwanza timu hizo zulú Dunia a 1-1 wiki iliyopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam na leo pia wamepata matokeo ya aina hiyo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kabla ya mchezo kuamuliwa kwa matuta.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPANGA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top