• HABARI MPYA

  Sunday, September 25, 2022

  TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA


  BAO pekee la Simon Happygod Msuva dakika ya 28 limeipa Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa usiku wa Ijumaa Uwanja wa Modern Jijini Benghazi, Libya.
  Taifa Stars itashuka tena dimbani Jumanne kumenyana na wenyeji, Libya katika mchezo wa mwisho wa kirafiki ulio katika kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kabla ya kurejea nyumbani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top