TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 17 na Joel Matip dakika ya 89, wakati la Ajax limefungwa na Mohammed Kudus dakika ya 27.
0 comments:
Post a Comment