• HABARI MPYA

  Saturday, September 10, 2022

  COASTAL UNION NA POLISI TANZANIA HAKUNA MBABE, 0-0

  WENYEJI, Coastal Union wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.  
  Kwa matokeo hayo, Coastal inafikisha pointi nne, wakati Polisi Tanzania sasa ina pointi mbili tu baada ya wote kucheza mechi tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION NA POLISI TANZANIA HAKUNA MBABE, 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top