• HABARI MPYA

  Thursday, September 22, 2022

  MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI


  WINGA Mghana wa Yanga, Bernard Morrison amefungiwa mechi tatu kwa kumchezea rafu mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika mechi baina ya timu hizo, wakati refa wa mechi hiyo Ahmed Arajiga amepelekwa Kamati ya Waamuzi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top