WATATU YANGA WAITWA KIKOSI CHA U23 MECHI YA KUFUZU AFCON
KOCHA Hemed Morocco ameita wachezaji 34 kuunda kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za AFCON U23 dhidi ya Sudan, wakiwemo watatu wa Yanga SC.
0 comments:
Post a Comment