• HABARI MPYA

  Tuesday, September 06, 2022

  WACHEZAJI WA YANGA WALIOPITISHWA CAF

  HUU ndio Usajili wa Yanga SC uliopitishwa na CAF kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Mchezaji Crispin Ngushi ndio mchezaji pekee ambaye hakupitishwa na CAF kutokana na Young Africans kushindwa kumsajili kwenye mfumo wa usajili wa ndani TFF/FIFA Connect.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA YANGA WALIOPITISHWA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top