• HABARI MPYA

  Wednesday, September 28, 2022

  TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA LIBYA JIJINI BENGHAZI


  TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imechapwa mabao 2-1 na wenyeji, Libya katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Modern Jijini Benghazi.
  Bao pekee la Taifa Stars kwenye mchezo huo limefungwa na kiungo Said Hamisi Ndemla huo ukiwa mchezo wa pili wa kirafiki nchini humo ndani ya wiki moja baada ya awali kushinda 1-0 dhidi ya Uganda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA LIBYA JIJINI BENGHAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top