• HABARI MPYA

  Monday, September 05, 2022

  RAIS SAMIA NDANI YA BOTI YA AZAM MARINE, KILIMANJARO IV


  Siku ya leo, tarehe 05/09/2022, tulipata ugeni wa kipekee.Mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesafiri kwa boti yetu ya Kilimanjaro IV akiwa na abiria wetu wengine kutoka Zanzibar kuelekea Dar es salaam. 
  Today, on 05/09/2022, we received a very special guest. Her Excellency President Samia Suluhu traveled on our Kilimanjaro IV boat together with our other passengers from Zanzibar to Dar es salaam.
  @officialazammarine
  @officialbakhresagroup  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA NDANI YA BOTI YA AZAM MARINE, KILIMANJARO IV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top