MFARANSA Denis Lavagne ndiye Kocha mpya Mkuu wa Azam FC, akichukua nafasi ya Msomali, Abdihamid Moalin aliyefukuzwa wiki iliyopita.
Lavagne mwenye wasifu mkubwa, akiwa na leseni ya juu ya ukocha (UEFA Pro Licence), atasaidiwa Muingereza, Kali Ongala na Waspaniola, Dani Cadena kocha wa makipa, Mikel Guillen kocha wa Fiziki na mtaalamu wa tiba za wanamichezo (physio), Mreno Joao Rodrigues.
0 comments:
Post a Comment