• HABARI MPYA

  Friday, September 09, 2022

  TWIGA STARS YAVULIWA UBINGWA COSAFA


  TANZANIA imevuliwa ubingwa wa COSAFA Wanawake baada ya kuchapwa 2-1 na Zambia leo Uwanja wa Isaac Wolfson mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.
  Mabao ya Zambia yamefungwa na Barbara Banda dakika ya 11 na Chisha Misozi dakika  ya 46, wakati la Twiga Stars alijifunga Margaret Balemu dakika ya 30. Twiga Stars sasa itawania nafasi ya tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS YAVULIWA UBINGWA COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top