• HABARI MPYA

  Saturday, September 17, 2022

  GEITA GOLD YATUPWA NJE KWA KURUHUSU BAO NYUMBANI


  SAFARI ya Geita Gold kwenye michuano ya Afrika imeishia Raundi ya Awali baada ya kutolewa kwa mabao ha ugenini na Al Sahil ya Sudan kufuatia sare ya jumla ya 2-2.
  Mechi ya kwanza Geita Gold ilifungwa 1-0 Sudan na leo imeshinda 2-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, hivyo Sahil inasonga mbele kwa faida ya kutikisa nyavu ugenini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YATUPWA NJE KWA KURUHUSU BAO NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top