SIMBA SC YAMTUPIA SC VIRAGO MAKI BAADA YA MIEZI MIWILI TU
KLABU ya Simba imeachana na kocha Mserbia, Zoran Manojlovic ‘Maki’ baada ya miezi miwili tu na ushei ya kuwa kazini. Maki alitambulishwa Simba Juni 28, mwaka huu kuchukua nafasi ya Mspaniola, Pablo Franco Martin aliyefukuzwa mwanzoni mwa mwezi huo.
0 comments:
Post a Comment