• HABARI MPYA

  Friday, September 09, 2022

  JUMA MGUNDA ANAVYOIANDAA SIMBA KUIPIGA BULLETS JUMAMOSI


  KOCHA wa Muda wa Simba SC, Juma Mgunda akiwa mazoezini Jana mjini Lilongwe nchini Malawi kukiandaa kikosi kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets Jumamosi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUMA MGUNDA ANAVYOIANDAA SIMBA KUIPIGA BULLETS JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top