• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2022

  MFARANSA WA AZAM FC, LAVAGNE ALIVYOANZA KAZI LEO KUELKEA MECHI NA MBEYA CITY SOKOINE


  KOCHA mpya wa Azam FC, Mfaransa, Denis Lavagne ameanza rasmi kukinoa timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea mechi na Mbeya City Jumanne ijayo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MFARANSA WA AZAM FC, LAVAGNE ALIVYOANZA KAZI LEO KUELKEA MECHI NA MBEYA CITY SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top