• HABARI MPYA

  Monday, September 05, 2022

  TFF YAZUIA USAJILI WA KISINDA YANGA, KISA...  WACHEZAJI wa kigeni waliosajiliwa siku za mwisho kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili nchini wamezuiwa kucheza Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara kwa sababu zoezi hilo limekwishafungwa.
  Maana yake winga Mkongo, Tuisila Kisinda aliyerejeshwa Yanga kutoka RSB Berkane ya Morocco na kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza aliyesajiliwa Geita Gold hawatacheza Ligi hadi Januari katika usajili wa dirisha dogo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAZUIA USAJILI WA KISINDA YANGA, KISA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top