• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2022

  LIVERPOOL YAKUNG’UTWA 4-1 NA NAPOLI ITALIA


  TIMU ya Liverpool jana imetandikwa mabao 4-1 na Napoli katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Diego Armando Maradona mjini Napoli.
  Mabao ya Napoli yalifungwa na Piotr Zielinski dakika ya tano kwa penalti na 47, Andre-Franck Zambo Anguissa dakika ya 31 na mtokea benchi Giovanni Simeone dakika ya 44, wakati la Liverpool lilifungwa na Luis Diaz dakika ya 49.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAKUNG’UTWA 4-1 NA NAPOLI ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top