• HABARI MPYA

  Friday, September 30, 2022

  PRISONS YAICHAPA AZAM FC 1-0 SOKOINE


  BAO pekee la Jeremiah Juma dakika ya 46, limeipa Tanzania Prisons ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Tanzania Prisons wanafikisha pointi saba na kusogea nafasi ya nane, wakati Azam FC inabaki na pointi zake nane ikishukia nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRISONS YAICHAPA AZAM FC 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top