• HABARI MPYA

  Sunday, September 11, 2022

  KMKM YACHAPWA 2-0 NA WALIBYA ZANZIBAR

  WAWAKILISHI wa Zanzibar, KMKM jana walichapwa 2-0 na Al Ahli Tripoli ya Libya katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Wawakilishi wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho, Kipanga leo wanateremka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kumenyana na wenyeji, wahamiaji Al Hilal Wau ya Sudan Kusini kuanzia Saa 10:00 jioni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMKM YACHAPWA 2-0 NA WALIBYA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top