• HABARI MPYA

  Friday, September 30, 2022

  YANGA SC YAICHAPA MBUNI YA ARUSHA 2-1 KIGAMBONI


  VIGOGO, Yanga jana wamecheza mechi ya kirafiki kambini kwao, Avic Town na kuichapa Mbuni ya Arusha 2-1, mabao yao yalifungwa na Fiston Kalala Mayele Mayele na Feisal Salum Abdallah.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAICHAPA MBUNI YA ARUSHA 2-1 KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top