• HABARI MPYA

  Wednesday, September 07, 2022

  MBAPPE APIGA MBILI PSG YAANZA VYEMA LIGI YA MABINGWA


  WENYEJI,Paris St Germain wameanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Juventus katika mchezo wa Kundi H jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris.
  Mabao yote ya Paris St Germain yamefungwa na mshambuliaji wake nyota na tegemeo, Mfaransa Kylian Mbappe dakika ya tano na 22, wakati la Juve lilefungwa na Weston McKennie dakika ya 53.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE APIGA MBILI PSG YAANZA VYEMA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top