• HABARI MPYA

  Wednesday, September 07, 2022

  KOCHA MPYA MFARANSA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA  KOCHA Mfaransa, Denis Lavagne leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha Azam FC kwenye ofisi za Utawala za klabu hiyo, barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA MFARANSA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top