BAO la mapema kipindi cha kwanza la Ali Ahmed ‘Shiboli’ limewapa wenyeji, Pamba FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Championship leo Uwanja wa Nyamagana, Jijini Mwanza.
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA CHAMPIONSHIP LEO:
Mashujaa 1-1 Transit Camp
Kitayosce FC 1-1 Pan Africans
African Sports 1-1 Green Warriors
Mbuni FC 3-0 Ndanda FC
Fountain Gate 1-0 Biashara United
JKT Tanzania 2-0 Copco FC
Gwambina FC 1-2 Mbeya Kwanza
Pamba FC 1-0 Ken Gold
0 comments:
Post a Comment