• HABARI MPYA

  Saturday, September 17, 2022

  LISAJO AIBEBESHA NAMUMGO FC POINTI TATU NYINGINE MAJALIWA


  BAO la penalti la Reliant Lusajo dakika ya 39 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkaoni Lindi.
  Namungo FC inafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya tatu, ilizidiwa tu wastani wa mabao na Yanga na Simba baada ya wote kucheza mechi nne.
  Hali si nzuri kwa Coastal Union, kwani baada ya kichapo cha leo inabaki na pointi zake nne za mechi nne nafasi ya tisa kwenye ligi ya timu 16.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LISAJO AIBEBESHA NAMUMGO FC POINTI TATU NYINGINE MAJALIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top