• HABARI MPYA

  Sunday, September 18, 2022

  KMKM YAPIGWA 4G, YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA


  TIMU ya KMKM ya Zanzibar imetupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-0 na wenyeji, Al Ahli Tripoli jana Uwanja wa Martyrs of February Jijini, Benghazi nchini Libya.
  Kwa matokeo hayo, KMKM inatolewa kwa jumla ya mabao 6-0 kufuatia kuchapwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMKM YAPIGWA 4G, YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top