• HABARI MPYA

  Wednesday, September 28, 2022

  MSHAMBULIAJI MSERBIA, DEJAN ATANGAZA KUONDOKA SIMBA SC


  MSHAMBULIAJI Mserbia, Dejan Georgejevic ametangaza kuondoka Simba baada ya kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo.
  “ Ninathibitisha kwamba Mkataba wangu wa Ajira umesitishwa kwa sababu za haki kutokana na ukiukwaji wa kimsingi wa Mkataba na Klabu,” ameandika Dejan katika ukurasa wake wa Instagram na kuongeza;
  “Asanteni mashabiki kwa support na upendo mlionipa,”.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MSERBIA, DEJAN ATANGAZA KUONDOKA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top